Skip to content
Advertisements

MASHABIKI WAMTUNUKU CASPER NYOVEST JINA LA “ MHANDISI WA MAPENZI” BAADA YA KUTOA VIDEO HII 

Inawezekana Kabisa Afrika Haikuzoeleka Msanii Anaweza Kutumia Ubunifu Kama Alioweza Kuuonyesha Rapper Casper Nyovest Kutoka Nchini Afrika Ya Kusini ,Baada Ya Kuachia Video Ya Single Yake Iitwayo Destiny Inayopatikana Katika Album Yake Iitwayo Thuto Ambayo Imetoka Mapema Mwezi May Mwaka Huu.
Lakini Katika Wimbo Huo Alimshirikisha Mwanadada Mrembo Ambaye Anaishi Marekani Lakini Anaasili Ya Afrika Kusini Pamoja Na Israel,Mrembo Anayefanya Muziki Aina Ya Soul ,Rnb Pamoja Na Trip Hop.

Sasa Baada Ya mKali Huyo Kuachia Video Ya Wimbo Huo Mashabiki Wameonekana Kupagawa Sana Na Kile Kilichoonekana Kwenye Video Ikiwemo Kumpongeza Msanii Huyo Kwa Kuweza Kufanya Video Ya Heshima Hakuna Wadada Wamevaa Vi**** Jambo Lililoonekana Kufurahisha Zaidi,Lakini Wengine Wakimpongeza Kwa Ubunifu Wa Aina Yake N Ahata Kusema Kuwa Mpaka Hapo Amemfunika Rapper Mwenzake Aitwaye A.K.A.


.

Advertisements
%d bloggers like this: