NDOA YA NAWAL YAMTOA NUH MZIWANDA MACHOZI


Ikiwa zimepita siku chache sana baada ya kuthibitisha kuachana na aliyekuwa mke wake na mzazi mwenzie msanii Nuh mziwanda ameonyesha kusikitishwa sana na ndoa ya aliyekuwa mke wake Nawal.

Aliyewahi kuwa,mke wa Nuh akiwa kwenye vazi la harusi

kupitia Instagram account yake Nuh ameposti picha ya aliyewahi kuwa mke wake akiwa kwenye vazi la harusi na kumtakia maisha mema kwa mume wake mpya.

Posted in: GOSSIP

Advertisements

1 thought on “NDOA YA NAWAL YAMTOA NUH MZIWANDA MACHOZI Leave a comment

Comments are closed.