Skip to content
Advertisements

Donald Trump na Kim Jong-un wazungumza

Rais wa Marekani Donald Trump na rais wa Korea Kusini wamezungumza kwa njia ya simu kwa mara ya kwanza. Suala kuu ambalo liligubika mazungumzo yao ni majaribio ya hivi karibuni ya sialaha za nyuklia za Korea Kaskakazini.

Taarifa zaidi zinaeleza kuwa waziri mkuu wa Korea Korea Kaskazini naye amefanya mazungumzo na waziri mwenziwe kutoka Korea Kusini kwenye mkutano wa masuala ya usalama nchini Philippines, na kunukuliwa akisema Souls imetoa nafasi nyingine ya mazungumzo mapya.

Wakati huo huo Siku ya Jumapili mawaziri wa mamabo ya nje wa Korea Kaskazini na Kusini walifanya mkutano mjini Manila, mji mkuu wa Ufilipino.

Mkutano huo kati ya Kang Kyung-wha wa Korea Kaskazini na Ri Yong Ho ulifanyika pombezoni mwa mkutano wa usalama wa kanda.

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa siku ya Jumapili lilipiga kura kuwekea Korea Kaskazni vikwazo zaidi.

Rais wa Marekani Donald Trump amesema ameridika uamuzi wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuunga mkono vikwazo vipya dhidi ya Korea Kaskazini.

Advertisements

1 Comment »

 1. Definitely consider that that you stated. Your favourite justification appeared to be
  on the web the easiest thing to have in mind of. I say to you,
  I certainly get annoyed even as folks think about concerns that they
  plainly do not understand about. You managed to hit the nail upon the highest and defined out the entire thing without having side effect ,
  folks could take a signal. Will likely be again to get more.

  Thank you http://raw-nature.uk/index.php/component/k2/itemlist/user/11422

  Like

%d bloggers like this: