Skip to content
Advertisements

DIRECTOR NICLASS AFUNGUKA KUHUSIANA NA NA VIDEO YA ROMA ZIMBABWE

Siku ya tatu tangu msanii Roma Mkatoliki kulisimamisha jiji kwa kulipeleka Zimbabwe ni baada ya kimya kirefu toka alipopata matatizo watu wengi walitamani kujua msanii Roma angerudi na kitu gani baada ya kuwaacha watu kwenye sintofahamu kwa kushindwa kueleza kwa uwazi tukio zima la yeye na wenzake kutekwa katika studio za tongwe.Sasa Zimbabwe ndio habari ya town ngoma mpya ambayo video yake imefanyika Dodoma na director aitwaye Niclass.

Director Niclass

Akipiga story na The switch ya Generation Fm Niclass amefunguka na kusema kuwa wazo la kufanya video hiyo lilikuja baada ya mabishano kidogo maana Roma nae alikuwa na wazo lake lakini baadae walikubaliana na wakiwa njiani kuelekea Dodoma walikuwa wakiongezea vitu alifunguka director Niclass.

 cc.sulemrenotz

Advertisements
%d bloggers like this: