Skip to content
Advertisements

Penzi la Tristan Thompson lamvuruga Khloe Kardashian.

Ni wakati mwingine wa kuogelea ndani ya dimbwi zito la mahaba, haya ni mahusiano yangu bora kabisa, hii ndio kauli ya sasa ya mwanadada #KhloeKardashian ambaye amelizungumzia penzi lake na staa wa NBA, Tristan Thompson.

Kwenye moja ya Interview zake na jarida la ‘YOU MAGAZINE’, mke huyo wa zamani wa Lamar Odom, amenukuliwa akisema,

“Nipo kwenye mahusiano bora kabisa ambayo sijawahi kuwa hapo awali.” Alisema Khloe

“Sio mpaka nivishwe Pete (Ndoa) ndio niwe na furaha. Naamini kwenye ndoa na nataka kuolewa tena siku moja lakini bado sifahamu ni lini.”- alimaliza mrembo huyo.

Advertisements
%d bloggers like this: