Skip to content
Advertisements

Usher Raymond azidi kuziruka tuhuma za kumwambukiza gonjwa la zinaa mwanadada Quantasia Sharpton.

Baada ya taarifa kusikika kuwa #Usher alikutana na Mwanadada huyo kwenye Hotel ya Days Inn mwaka 2014, na Wafanyakazi wa Hotel hiyo kuthibitisha, The RnB staa huyo amekanusha taarifa hizo.

Usher amekanusha huku akisisitiza kuwa tarehe inayotajwa kufanyika tukio hilo, alikuwa bize na mke wake, Grace Miguel ikiwa ni miezi miwili tangu amvishe Pete ya Uchumba.
Quantasia Sharpton ni kati ya Wanawake Watano waliojitokeza na kudai Mwimbaji huyo mkongwe amewaambukiza gonjwa la zinaa (Herpes) kwa kukusudia.

Advertisements
%d bloggers like this: