Skip to content
Advertisements

IDRIS SULTAN:kuna tofauti kubwa kati ya kuwa model na kukaa tu uchi

Kutokana na kuibuka wimbi kubwa la vijana wa kike na wakiume kupiga picha za nusu utupu na utupu mtandaoni kwa kisingizio cha Modeling.Msanii wa filamu na mchekeshaji nchini Idrissa Sultan ameamua kuwachana.

kupitia mtandao wa Instagram Idrissa amewachana na kuwaeleza kuwa “Respect our models, sio kila mdada aliye kaa kaa uchi tu anaitwa model 😏.. Flaviana is a model, Herieth Paul is a Model, Millen is a model, Maggie Vampire is a model, Niler is a model, Lorraine is a model, Julitha, Cherie , Dax is a model, Ben breaker ni model, Lota, Dieitrich ni model na wengine wengi tu wanafanya runways na billboards na hata wale wanaofanya social media kwaajili ya maduka etc etc wapewe heshima yao… Huu upuuzi watu wanafanya na kusingizia ni modeling is rubbish kabisa 😏 unatangaza brand gani ? Vumbi ? Majani ? Mataulo ? … Photographers wakiboya washaona gia ya kuwavua nguo ni kuwaita studio kuwagonga nude pics na kuwaambia nyie models πŸ˜’… Nyinyi ni Vyuchi sio models. Professional VYUCHI, international VYUCHI, overseas VYUCHI, VYUCHI unlimited supply πŸ€¦πŸ½β€β™‚οΈ hawa VYUCHI hawatuachi salama πŸ™Š”

Amefunguka Idrissa kupitia account yake ya Instagram.

Advertisements
%d bloggers like this: