Skip to content
Advertisements

GOODLUCK GOZBERT AMETHIBITISHA KUENDELEA KUTENGENEZA BONGO FLEVA

Amefunguka Goodluck Gozbert Moja Kati Ya Msanii Anayefanya Muziki Wa Gospel Tanzania ,Lakini Pia Ni Producer Ambaye Anafanya Anatengeneza Muziki Tofauti Tofauti.

Kumekuwa Na Maswali Mengi Sana Kuhusu Msanii Huyo Kuwa Baada Ya Kufanya Gospel Kama Ameutupa Muziki Wa Kidunia Ambao Ni Bongo Fleva.

Sasa Digital Drimz Tumempata Goodluck Ana Amethibitisha Kuhusu Kufanya Kazi Za Bongofleva Na Kusema Kuwa:-

“Huwa Sipendi Kuwaita Wasanii Wa Kidunia Kwasababu Wote Tunaishi Duniani Humu Humu Mbinguni Hamna Wasanii,Kwahiyo Labda Niseme Kazi Za Studio Mi Nafanya Kama Kawaida Ni Suala La Muda Tu Sipati Muda Wakutosha So far Wasanii Wote Tutaishia Hapa Duniani Mbinguni Wote Tutakuwa Tunamuimbia Mungu”

Alisema Goodluck Gozbert Ambaye Kwa Sasa Anafanya Vizuri Na wimbo Wake Wa Shukurani Ambao Ameachia video tayari.

Ila Pia Katika Kuongezea Msanii Huyo Amesema Kuwa Nyimbo Nyingi Anazoimba Zinahusu Maisha Yake Kwa Asilimia 100 Kwa Hivyo Kwa Namna Nyingine.

Advertisements
%d bloggers like this: