Skip to content
Advertisements

Hii ndio sababu ya kifo cha staa wa movie ya Home Alone

Karibu mwezi mmoja sasa tangu kifo cha mwigizaji staa wa Filamu John Heard aliyefariki akiwa katika Chumba cha Hotel July 21, 2017 imeelezwa kuwa sababu ya kifo chake ni mshtuko wa moyo kwa kuwa alikuwa na matatizo ya hayo kwa muda sasa. 

Imeelezwa kuwa Heard alikuwa amefanyiwa upasuaji wa mgomgo siku mbili kabla ya kupata mshtuko huo ambao ulichukua maisha yake ingawa haukuchangia kwa namna yoyote kifo chake. 
Ukiachilia mbali Home Alone, staa huyo aliyefariki akiwa na umri wa miaka 71 ameigiza katika filamu mbalimbali zilizompatia umaarufu zikiwemo Chilly Scence of Winter, Heart Beat na nyinginezo.

Advertisements
%d bloggers like this: