Skip to content
Advertisements

ALICHOKISEMA DULLY KUHUSU ALI KIBA ,DIAMOND NA YOUNG D

Mkali na mhenga kwenye game ya bongo fleva prince dully a.k.a brother men leo amefunguka kupitia kipindi cha heshima ya bongo fleva na kuwa taja baadhi ya wasanii ambao watadumu kwenye game hili kulingana na life style zao katika game akijibu swali alilo ulizwa na Dullar kuhusu maoni yake kwa wasanii chipukizi waliopo kwenye game ya bongo fleva Dully alisema

 “Nawakubali wasanii wote waliochipukia japo wanafanana sana kwenye mziki wao na life style yao katika game ” 

Pia aliwataja wasanii kama..

Ali kiba

ALI KIBA

Amemtaja Ali kiba kama msanii mwenye utofauti mkubwa kuanzia kwenye mziki mpaka maisha yake na kusema licha ya kushindanishwa na Diamond platnumz lakini bado Ali amekuwa akionekana wa tofauti kwani “Ali kiba amekuwa akishindanishwa na Diamond Platnumz lakini haonueshi kuhangaika utamkuta amevaa kibukta tu” 

DIAMOND PLATNUMZ

DIAMOND PLATINUM

Akimzungumzia Diamond amesema ni msanii ambaye nae anautofauti na wengine wengi kwa kuwa na life style yake bila kumuiga mtu kitu ambacho wasanii chipukizi wanakosa ni kuiga sana maisha ya watu wanaowatazama kitu kinachosababisha wasifanye vizuri.

YOUNG D

YOUNG D

Moja kati ya marapa ambao wametajwa na mfalme wa huyo wa bongo fleva kuwa wanamaisha marefu katika mziki huu wa kwakuwa hana mambo ya kuiga wengine kuanzia kwenye maisha yake mpaka muziki wake hivyo Dully alimtaja kama mtu ambaye atadumu kwenye muziki huu.

Advertisements
%d bloggers like this: