Skip to content
Advertisements

UJUMBE WA WEMA SEPETU KWA IDRISS SULTAN

Miss Tanzania 2006 na muigizaji wa bongo movie Wema Sepetu kupitia account yake yenye followers Million 3 katika mtandao wa Instagram ametuma ujumbe wa pongezi kwa aliyewahi kuwa mpenzi wake Idriss Sultan.Wema amempongeza Idriss kuelekea kuzindua bidhaa yake mpya aliyoipa jina la Sultanxmen.

Picha bidhaa Ya viatu inayotarajiwa kuzinduliwa na mchekeshaji Idriss Sultan


“Nikisema sitojivunia ntakuwa ni muongo na mnafki… Proud of you sana… Cant wait for these babies to launch… Im sure zitakuwa Killer… Cause one thing I know is that “Classy” defines you alot better than anything…😊 #SultanXForemen … Goodmorning World”

Ulikuwa ujumbe wa wema kwa Idriss kupitia mtandao wa instagram.

Advertisements
%d bloggers like this: