Skip to content
Advertisements

DIAMOND AMPA MIKAUSHO MIKALI HAMISA NA MWANAE, ADAI ANATAFUTA UMAARUFU

Diamond Platnumz amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusiana na skendo kubwa inayoendelea ya kuwa yeye ndiye baba wa mtoto wa Hamisa Mobetto. Muda mfupi baada ya Hamisa kutangaza jina la mwanae kuwa ni Abdul Naseeb, hitmaker huyo wa Eneka ameandika kwenye Twitter kuwa mrembo huyo anatafuta umaarufu.
Jina rasmi la Diamond ni Naseeb Abdul, na hivyo mtoto huyo kupewa jina la baba yake na Hamisa, ni kama mrembo huyo amethibitisha tetesi hizo.


Ameandika kwenye Twitter: BITCH IS DYING FOR FAME.
Hatua hiyo imekuja katika wiki ambayo skendo hiyo imezidi kushika kasi. Diamond hajawahi kukiri kuwahi kuwa na uhusiano na Hamisa.

Advertisements
%d bloggers like this: