Skip to content
Advertisements

ALI KIBA AMUITA DIAMOND PLATNUMZ MALKIA WA NGUVU.

Haijawa kitu cha kawaida kwa msanii Ali kiba kujibu wazi madongo ambayo mara kadhaa yamekuwa yakitupwa na msanii mwenzake Diamond platnumz tukianzia kwenye wimbo wa “All way up” remix ambapo Diamond Platmuz alidondosha madongo ya wazi kwa Ali kiba “Waaambie dada zao wa kariakoo waje ulaya””wao wakiposti tembo sisi tuna posti show” Ni baadhi ya mistari iliyo mlenga wazi kiba.Lakini hakuwahi kuwahi kumjibu kwa wazi tofauti imejitokeza baada ya Diamond platinum kuachia diss track nyingine jana iitwayo “Fresh”ambayo ni remix ya wimbo wa Fid q na ndani ya ngoma hiyo Diamond ameendelea kumlenga waziwazi Ali kwa madongo kitu kilicho mfanya kiba kujibu moja ya mstari wa ngoma hiyo uliosema 

“Viuno vidogo mnataka pensi ya pepe kale ,Mlitaka kiti ? nimewapa hadi kitanda mkalale”  kiba amejibu kwa kuandika kwenye ukurasa wake wa twitter 

“The king II always be a king. je umeshakitandika nije nilale malkia wangu wa nguvu” 

Post ya Ali kiba kupitia mtandao wa twitter

Hayo yalikuwa maneno ya kiba ambayo ni dhahiri yalimlenga Diamond moja kwa moja kitu ambacho kimeibua hisia tofauti kwa mashiki wa pande zote mbili na kuishia kurushiana matusi mtandaoni 

Advertisements
%d bloggers like this: