Skip to content
Advertisements

DIAMOND PLATNUMZ AKINIPIGIA NIKASAINI WASAFI SIWEZI KUKATAA – STAMINA

Hayo Ni Meneno Yake Mkali Stamina A.K.A Boneventure Moja Kati Ya Msanii Ambaye Ni Mkali Wa Mashariki Kutoka Morogoro Anayefanya Muziki Wa Hiphop.

Stamini Ambye Amefanya Ngoma Na Roma Iitwayo Hivi Ama Vile Ngoma Ambayo Imeonekana Kupokelewa Vizuri Sana Kufutia Ujumbe Na Kile Walichoimba Wasanii Hao.
Digital Drimz Imemnyaka Na Kutaka Kujua Machache Baada Ya Msanii Huyo Kwa Mara Ya Kwanza Kuwenda Katika Studio Ya Wasafi Na Kurekodi Ngoma Ambayo Haijajulikana Amemshirikisha Nani,Lakini Ni Jambo Gani Ambalo Stamina Analizungumza Kuhusu Wafasi:-


“Moja Kati Ya Vitu Nampongeza Diamond Ni Hii Label Ya Wasafi Kwasababu Amegawa Ajira Kwa Vijana,Na Hata Ikitokea Leo Nimeitywa Kusaini Wasafi Sitakataa Muziki Umekuwa Kazi Sasa Hivi Najua Itanitoa Sehemu Moja Kwenda Nyingine Na Kila Mtu Anatamani Kufika Kimataifa Na Diamond Ni Mtu Ambaye Anaconnection Kubwa Sana Na Hata Ulaya Watu Wanafanya Hivi Wakina Jay Z ,Wakini P Didy Kwahhiyo Hata Nisipokuwa Mimi Nikiona Rapper Mwenzangu Kasainiwa Wasafi Nitajivunia Na Kufurahi,Na Hii Ni Step Kubwa Sana Kwa Diamond.”


Alisema Stamina Ambaye Pia Bado Anaamini Katika Game Ya Hiphop Bado Wanahitaji Msaada Mkubwa Sana .


Tazama Video Hii Pia Ufurahie.

https://youtu.be/O6oYcHJfBik


Advertisements
%d bloggers like this: