Skip to content
Advertisements

HUKU NDIPO NILIPELEKA PESA ZANGU ZA USHINDI – IDRIS SULTAN

Hii Ni Hatua Nyingine Kwa Mtangazaji Pamoja Na Mwigizaji Idris Sultan Ambaye Aliwahi Kushiriki Big Brother Africa Na Kujizolea Kitita Cha Pesa Nyingi Sana,Ambazo Tangu Alipotoka Watu Walitamani Sana Kujua Pesa Hizo Amezifanyia Nini Ama Anazifanyia Nini N Ahata Wengine Kudai Kuwa Amefulia Lakini Waswahili Husema Ni Bora Vitendo Kuliko Maneno.

Sasa Idris Sultan Amedhiririsha Msemo Huo Na Kutambulisha Brand Yake Ya Viatu Katika Soko La Afrika Ikiwa Pia Tayari Tumeona Watu Maarufu Nchini Tanzania Wakija Na Brand Mbali Mbali Akiwemo,Kidoti Ambaye Alitambulisha Mabeji,Nywele Na Ndala,Flaviana Matata Ambaye Amekuja Na Lavy Polish,Wema Sepetu Ambaye Alikuja Na Lipstick,King Kiba Ambaye Alikuja Na Kofia,Vile Vile Diamond Ambaye Alikuja Na Mavazi Wasafi,B Dozen Ambaye Alikuja Na Born To Shine Pamoja Na Wengine Wengi.
Lakini Yote Hii Ni Changamato Ambayo Aliitumia Idris Sultan Na Kuamua Kakaa Chini Na Watu Wake Na Team Nzima Na Kuhakikisha Basi Wanaume Wanapendeza Kuanzia Miguuni Kwa Kuvaa Viatu Vikali Kabisa.

Bidhaa ya viatu kutoka kwa Idriss Sultan


Si Hatua Ndogo Kwake Ni Hatua Kubwa Sana Na Hata Mastar Mbali Mbali Akiwemo Ex Wake Wema Sepetu Wampongeza Sana Kwa Hatua Hiyo,Ila Idris Mwenye Kupitia Ukurasa Wake Wa Instagram Hakusita Kutoa Maneno Yake Ya Moyoni Kwa Mama Yake Mzazi Na Baba Yake Mzazi Pamoja Na Ndugu Waliojizatiti Kuwa Nae Bega Kwa Bega Mpaka Kufanikisha Jambo Hili.
“My partner in design Augustine Dundos we have made a magnificent brand Sultanbyforemen, my stylist Rio Paul and my manager Docta Ulimwengu without forgetting special thanks to my beautiful Mother she can say she raised me right haha I love you mama, na mama naomba niruhusu niseme Sheikh Sultan amefanya makubwa sana hasa kwenye kunifunza mpaka kukariri Quran yote nakukubali sana mzee Sultan. Wadogo zake mama angu, Nasra, Naila, Neema, Naimi, Naomi, Neema , nyie ni mama zangu maana Naima alikua ananitupatupa kwenu. Watu walikua wanauliza hela zimeenda wapi 🤔… Hata mi sijui 😂 … Allah I love you na unajua vile visimamo vya lailatul qadr usije kumuambia mtu nimeomba nini 😅 … We have managed to make multiple designs and thanks to my partner in design, this is not just a shoe, this is a symbol of love, struggle, hustle, power and intelligence of a survivor. This is a life 💙 “#sultanXforemen… @sultanbyforemen

Advertisements
%d bloggers like this: