Skip to content
Advertisements

Tetemeko la ardhi la ukubwa wa 4 latokea katika kisiwa kimoja nchini Italia

Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 4 limeripotiwa kutokea katika kisiwa cha Ischia magharibi mwa nchi ya Italia .
Janga hilo limepelekea kifo cha mtu mmoja huku wengine 25 kujeruhiwa .
Taarifa zafahamisha kwamba tetemeko hilo lilitokea majira ya saa mbili na dakika 57 kulingana na nyakati za kanda hiyo.
Aidha uharibifu wa mali na majengo pia ulishuhudiwa katika tetemeko hilo .
 

Advertisements
%d bloggers like this: