Skip to content
Advertisements

BEEF: Dimpoz apost picha na Mama Diamond na kutuma salamu kwa Diamond

Kumekua na vijembe vya hapa na pale kati ya pande mbili za Bongofleva, Diamond Platnumz na WCB na Alikiba na Rock Star ambapo ishu imeanzia kwenye fresh remix ya Fid Q ft. Diamond na Rayvanny.
Alikiba alijibu kupitia ukurasa wake wa Twitter na Instagram ambapo saa kadhaa baadae kuna kipisi kingine cha hiyo ngoma ya Fresh kilipostiwa Instagram na Diamond alisikika akichana maneno yafuatayo hapa chini.
“Kufanya verse moja tu naona povu linawashuka, kina dada wavaa top na vibukta.. hawatoi ngoma kazi Twitter kunisuta”
Mistari hiyo ilisemekana kumdiss Alikiba na Dimpoz ambapo Ommy Dimpoz leo ametumia ukurasa wake wa Instagram kupost picha akiwa na Mama mzazi wa Diamond Platnumz na kuandika “BARUA YA WAZI KWA BINTI YANGU MALKIA WA NGUVU, Salam zako nimezipata mwanangu”
“Hivi kweli ww wa kukosa Adabu na kuamua kunichamba mimi Baba yako? Sasa kosa langu mimi nini?😭😭😭 Kwani kuna Ubaya kumtandikia Kitanda Baby wako King?”

#UnanioneaKwaKuaSijuiKurap😭

#SijuiNaMimiNimkatae🤔🤔

#KamaYeyeAlivyomkataaWaMobeto

#YaniUnamkataaMjukuuWangu😭😭

#UnakubaliKuleaWatotoWa5SioWako

#UmerogwaWWSioBureMwanangu

#NilikuwaNajuaNimezaaSIMBA

#KumbeNimezaaKIMBA

#DavidoNaeAnalalamiKuhusuENEKA

#UmeletaJanjaJanjaKwenyeFallOnU

y#NnaedhalilikaMimiBabaYaKo😭😭

#UtakujaKuniuaKwaPresha

#BABAMALKIA

Advertisements
%d bloggers like this: