Skip to content
Advertisements

Diamond amerudi tena na Verse hii, Je amemjibu tena Alikiba..?

Ishu ya Alikiba kumjibu Diamond Platnumz kutokana na mistari yake aliyo mchana kupitia wimbo wa ‘Fresh Remix’ na Alikiba kutumia ukurasa wake wa Twitter kumjibu Diamond, ishu yao bado imeendelea ambapo Staa Diamond amerudi tena na Verse hii inayomaanisha kuwa watu wana mdiscuss kwenye mitandanao kutokana na verse moja aliyochana kwenye wimbo huo.
Diamond ameamua kurudi na verse nyingine aliyochana na kuipost kwenye ukurasa wake wa Instagram yenye mistari hii……..>>>“Kufanya verse moja tu naona povu linawashuka, kina dada wavaa vitop na vibukta, hawatoi ngoma kazi twitter kunisuta, wasafiria nyota na hapa pia na jua ruska, wengine vishavu nukta lips kama tuta najiuliza ni laana au wameumbwa na hulka, wako pamoja kuposti simu na mafuta aaahaa msiniletee nuksi mimi huwa silagi vipusa” -Diamond 

Mitandao tuwaachie Mashabiki, Wasanii zetu studio…. ndio #Fresh 👍

A post shared by Chibu Dangote (@diamondplatnumz) on

Advertisements
%d bloggers like this: