Skip to content
Advertisements

HUDDAH AMTOLEA POVU GITHERIMAN

Mwanadada mrembo kutoka 254 kenya Huddah the boss ameshindwa kumvumilia Gigheriman moja kati ya watu waliojipatia umaarufu mkubwa toka siku ya uchaguzi wa nchi hiyo baada ya picha yake kusambaa akionekane akiwa kwenye foleni ya kupigia kula akiwa anakula chakula maarufu kenya aina ya githeri kikiwa kwenye mfuko.Kitendo hicho kimempatia umaarufu mkubwa pamoja na kubadilisha maisha yake kiujumla kwani makampuni mengi yamekuwa yakimtumia kwenye matangazo.Kupitia account yake ya instagram githeriman ameposti picha ambayo imemtoa povu mrembo huddah na kujikuta amedondosha comment iliyosomeka “Wewe sasa umetuibia fame, tuwachie pia na sisi tushine” Maneno ya huddah hayo kwenye picha ya Githeri man kupitia mtandao wa Instagram

Salamu….. Mungu awabariki

A post shared by GitheriMan (@realgitheriman) on

Advertisements

2 Comments »

%d bloggers like this: