Skip to content
Advertisements

HATIMAYE COLLABO YA HARMONIZE NA KOREDE BELLO NJE NJE

Konde Boy A.K.A Harmonize Ambaye Kwa Sasa Anafanya Poa Na Ngoma Yake Iitwayo Sina Katika Video Akiwa Amehusika Mr.Nice.

Wengi Kama Mtakumbuka Muda Mrefu Uliopita Waliwahi Kutangaza Ujio Wa Collabo Ya Msanii Huyo Na Msanii Kutoka Nchini Nigeria Korede Bello.
Jambo Ambalo Watu Wengi Walisurbiria Sana Kutaka Kujua Kolabo Hiyo Itatoka Lini Na Nani Atahusika Kuhakikisha Mambo Yanakwenda Kwenye Mtari.
Sasa Habari Njema Ni Kwamba Kolabo Hiyo Iko Njiani Na Muda Wowote Tutegemee Kusikia Kitakachofanyika Kati Ya Wawili Hao.
Ambapo Wote Walishare Kupitia Mitandao Ya Kijamii Huku Don Jazzy Ambaye Ni Boss Wa Mavins Music Naye Akishare Picha Ya Wasanii Hao Katika Mtandao Wake Wa Instagram Akimaanisha Kabisa Kuna Kitu Kizuri Kinakuja.

Na Pia Ikumbukwe Korede Bello Aliweka Wazi Siku Kadhaa Zilizopita Kuhusiana Na Ujio Wa Album Yake Nyingine Ambayo Itakuwa Na Kolabo Nyingi Zaidi Za Za Afrika Na Nje.

Advertisements
%d bloggers like this: