Skip to content
Advertisements

BREAKING: Ofisi za Mawakili Fatma Karume na Lawrence Marsha zimewaka moto

Habari iliyonifikia asubuhi hii ya leo August 26, 2017 ni kutoka Dar es Salaam zinahusu Ofisi za IMMMA Advocates zinazomilikiwa na Wanasheria Fatma Karume na Lawrence Marsha zimewaka moto alfajiri ya leo.
Ofisi hizo zipo Upanga, Dar es Salaam ambapo chanzo hakijafahamika hadi sasa…

Advertisements
%d bloggers like this: