Skip to content
Advertisements

FLOYD MAYWEATHER AMTANDIKA CONOR MCGREGOR ROUND YA 10 

Conor McGregor (kulia) akiendelea kupambana na mpinzani wake Floyd Mayweather (kushoto) katika pambano lao asubuhi ya leo.

Conor McGregor akiwa kamkumbatima mpinzani wake.

Floyd Mayweather (kulia) akimpa makonde ya nguvu.

Conor McGregor akiwa hoi.

Floyd Mayweather ametimiza pambano la 50 katika ngumi za kulipwa akicheza bila ya kupoteza.

Mayweather amempiga bingwa wa michezo ya UFC (ngumi na mateke), Conor McGregor kwa TKO katika raundi ya 10.

Mwamuzi alilazimika kuingilia na kusimamisha pambano katika raundi ya 10 baada yya kuona Mayweather anamuangushia kipigo kikali McGregor raia wa Ireland ambaye hakuwa akijibu kitu tena.

JEFF POWELL’S SCORECARD 

MAYWEATHER ROUND MCGREGOR

9 1 10

9 2 10

9 3 10

10 4 9

10 5 9

10 6 9

10 7 9

10 8 9

10 9 9

87 TOTAL 84

Advertisements
%d bloggers like this: