Skip to content
Advertisements

YOUNG D AOMBA RADHI KWA PICHA YA UTUPU

Hit maker wa ngoma ya bongo bahati mbaya Young D “paka rasta” mapema leo amezua gumzo mtandaoni baada ya kuvuja kwa picha ambayo ilimuonyesha akiwa pamoja na Model na mwanamziki Amber lulu ambaye kwenye picha hiyo ameonekana akiwa nusu utupu.

@amber___lulu X @youngdaresalama

A post shared by Dondosha (@dondoshablog) on

Watu wengi walionyesha kutoa comments za kuchukizwa na picha hiyo kitu kilichomfanya Young D kuvunja ukimya na kuamua kuomba radhi kwa mashabiki pamoja na umma kwa ujumla na kueleza dhumuni la picha hiyo.

“Nasikitishwa kwa picha inayosambaa mitandaoni.. imevuja bila ridhaa yangu ni picha iliyokua imepigwa behind the scene lengo haswa la photoshoot ni aina hii mpya ya mavazi ya aina ya ki”Scortish” kama sketi. Naomba radhi sana kwa hili! Na kwa mashabiki wote!😒 So sad!”

Advertisements
%d bloggers like this: