Skip to content
Advertisements

SIWEZI KUMUANIKA KILA KITU MTU NILIYETUMIA NAYE SHUKA MOJA – JACKLINE WOLPER

Hayo Ni Maneno Yake Mwigizaji Wa Bongo Movie Jackline Wolper Ambaye Anasifika Kwa Kuvikamata Viserengeti Boys Kama Wasemavyo Walimwengu Huku Wakisema Kabisa Anawalea Vijana Wadogo Hali Yakuwa Umri Wake Waweza Kuwa Unaruhusu Kabisa Kuwa Nao,Kama Maneno Ya Wahenga Kuwa Umri Ni Namba Tu.
Sasa Wengi Wamekuwa Na Maswali Sana Baada Ya Wolper Kuchana Na Harmonize Na Mpaka Kumpata Bff Wake Brown ,Lakini Swali Likawa Hivi Wolper Alishawahi Hata Siku Moja Kuambiwa Na Harmonize Kuhusu Kutaka Mtoto,Ila Wolper Alifunguka Suala Hilo Tofauti Kabisa Na Digital Drimz Tukalileta Karibu Na Wewe Juu Ya Matokeo Ya Ombi La Ex Wake Harmonize Kuhusu Kupata Naye Mtoto.

“Kweli Kuna Siku Moja Aliniambia Kwenye Mood Mbaya Sana Nataka Mtoto Nataka Tuzae Mimi Nikamjibu Hivi Wewe Mtoto Unapataje Mtoto Nilimjibu Hivyo Mimi Tatizo Langu Mkweli Na Aliniambia Hivyo Akijua Nipo Katika Mood Gani Huwezi Kusema Tu Nataka Mtoto,Na Hata Wababa Wenye Familia Zao Kuna Jinsi Ya Kumwambia Mke Wake Namna Ya Kuongeza Familia Na Sio Vile Avlivyoniambia Mimi Kuna Vingi Ngesema Ila Siwezi Sema Kila Kitu Kuhusu Mtu Nilietumia Naye Shuka Moja Kwa Hiyo Yeye Mwenye Anajua Kwanini”

Hilo Ni Jibu La Wopler Baada Ya Harmonize Kutaka Mtotyo Kutoka Kwake,Je Wolper Hakuwa Anahitaji Mtoto Au Hakuwa Tayari Kutengeneza Familia Na Harmonize Endele Kukakaa Karibu Na Digital Drimz Kufahamu Zaidi.

Advertisements
%d bloggers like this: