Skip to content
Advertisements

KWA HIKI ALICHOKIFANYA RICK ROSS KWA HUDDAH JE TUTEGEMEE PROJECT MPYA?

Rick Ross kupitia ukurasa wake wa instagram amempost huddah ambaye hivi karibuni alikuwa nchini Tanzania katika Maonyesho ya matumizi ya make up huku yeye akiwa kama mdau wa urembo kwa kuwa na bidhaa yake aliyo ipa jina la huddah cosmetics

Black bottle girls. @officialbelaire #businesswomen #entreprenuers #Queens

A post shared by The Boss Rick Ross (@richforever) on

Kwenye post hiyo ambayo imekuwa gumzo sana mitandaoni ni baada ya hashtag za Rappa Rick Ross kuonyesha kumsifia sana Huddah,Rick Ross ameandika #businesswomen#entrepreneurs#Queens Hashtag hizo zinzua utata kidogo na bado mrembo huyo ajajibu kutokana na post hiyo ya msanii Rick Ross.
Hata hivyo Rick Ross na Huddah ni miongoni mwa mabalozi wa kinywaji cha Belaire

Advertisements

1 Comment »

%d bloggers like this: