Skip to content
Advertisements

Emirates yafanya Uteuzi wa Meneja Mkuu Mpya kwa Tanzania

Mheshimiwa Rashed Alfajeer meneja mkuu mpya nchini Tanzania.

Dar es Salaam, Tanzania, Agosti 2017: Emirates imetangaza uteuzi wa Mheshimiwa Rashed Alfajeer kuwa meneja mkuu mpya nchini Tanzania.
Bwana Alfajeer, kutoka katika nchi za kitaifa wa Falme za Kiarabu, atakuwa na jukumu la kusimamia shughuli zote za emirates za kibiashara, wateja na mizigo kwenye soko.
“Nina furaha kwa kuchaguliwa kuwa meneja mpya wa Emirates nchini Tanzania na ninatarajia kufanya kazi na timu ya ndani, pamoja na washirika wetu wa biashara katika kuendeleza biashara zaidi ya Emirates kwenye soko,” alisema Alfajeer.
“Mtazamo wangu utakuwa kuendelea kuwapa wateja wetu wa Tanzania huduma bora kulingana na thamani ya pesa, tunapowaunganisha kwenye maeneo zaidi ya 150 ulimwenguni kote,” aliongeza.
Bwana Alfajeer alijiunga na Emirates mwaka 2013 kama sehemu ya mpango wa Emirates kama msimamizi wa Taifa wa Uendeshaji.

kitaifa wa cabin, ikiwa ni pamoja na raia wa Tanzania. Emirates ufanya safari zake kila siku kati ya Dar es Salaam. Ndege ya EK 0725 huondoka Dubai saa 1025hrs na huja Dar es Salaam saa 1450hrs. Ndege ya kurudi, EK 0726 inatoka Dar es Salaam saa 1645 na kufika Dubai saa 2320hrs.

Advertisements
%d bloggers like this: