Skip to content
Advertisements

Dayana nyange anena haya kuhusu mdogo wa drake

Mrembo Kutoka Nchini Tanzania Dayna Nyange Ambaye Amefanya Vyema Sana Na Ngoma Yake Ya Nivute Kwako Iliyomtambulisha Vizuri Sana Kwenye Ulimwengu Wa Muziki.

Dayna Nyange Ambaye Amefanya Vyema pia Na Angejua Komela Moja Ya Ngoma Ambazo Zimempa Nafasi Ya Kuchaguliwa Kuwania Tuzo Za Afrimma Ambazo Zinatarajiwa Kufanyika Mnamo Mwezi Oktoba Mwaka Huu.
Siku Kadhaa Zimepita Dayna Aliachia Video Ya Wimbo Wake Mpya Wimbo Ambao Video Imefanyika Huko Afrika Ya Kusini.
Lakini Video Ya Wimbo Huo Ilizua Maswali Na Utata Kwa Mashabiki Wake Kupitia Youtube Ambao Walidai Kuwa Huyo Video King Aliyemtumia Anasema Ni Mdogo Wake Drake Lakini Wao Kama Mashabiki Wanajua Drake Hana Mdogo Wake.
Sasa Ili Kuondoa Utata Huo Digital Drimz Tulimvutia Waya Dayna Nyange Na Kutaka Kuliweka Wazi Suala Hilo Lakini Dayna Alijibu Hivi:-
“Aah Kwa Watu Ambao Wanabisha Kuwa Yule Sio Mdogo Wake Drake Mi Sitaki Hata Kulisema Hilo Na Sina Sababu Ya Kuwaaminisha Bali Mimi Lengo Langu Ilikuwa Kufanya Video Na Kuwaletea Lakini Mwisho Wa Siku Katika Mazungumzo Ndio Unajikuta Unasema Hivi Yule Mkaka Nimemtoa Wapi Na Nini Nadhani Watu Wameshtuka Kumuona Na Sisi Ni Binadamu Tuko Sayari Moja Kwahiyo Mungu Akitaka Kukukutanisha Na Watu Anafanya Hivyo Ila Mimi Nilitaka Watu Wajue Tu Nina Video Yangu Mpya Inaitwa Chovya”

Alisema Dayna Nyange Na Digital Drimz Hatukuishia Hapo Tukataka Kujua zaidi Hivi Dayna Huwa Anandelea KuwasiliaNa Jamaa Huyo Ambaye Hata Jina Lake Halijafahamika (Mdogo Wake Drake] Na dayna Alijibu Hivi:_
“Kiukweli Huwa Tunawasiliana Sana Karibu Kila Siku Na Ni Mtu Ambaye Amekuwa Akinishauri Vitu Vingi Sana Vya Kusonga Mbele hata Katika Page Yangu Huwa Anapitia Na Kuangalia Labda Nikipost Nipo Katika mahojiano Fulani Basi Ananishauri Hapa Fanya Hivi Fanya Vile Kwahiyo Ni Mtu Poa Sana Na Nawasiliana Naye Sana Tu Kwakweli Ni Moja Ya Watu Wangu Wa Karibu Kwa Sasa Kwangu”
Amesema Dayna Nyange Kaibonga Vyema Na Digital Drimz Lakini Pia Mnaweza Kuendelea Kumpigia Kura Mrembvo Huyo Ili Aweze Kuibuka Na Ushindi Afrika Mashariki.

Advertisements
%d bloggers like this: