Skip to content
Advertisements

MAYUNGA – NAWEKEZA

Young Star Ambaye Alijipatia Umaarufu Kupitia Shindano La Muziki La Airtel Trace Lililofanyika Nchini Kenya Huku Mshindi Ambaye Ni Yeye Alijipatia Nafasi Ya Kwenda Kurekodi Chini Ya Universal Music Yak Wake Mtu Mzima Akon Na Kufanikiwa Kufanya Hivyo Wimbo Ambao Ulimpa Muongozo Mzuri Sana Msanii Huyo Ambaye Anafanya Muziki Wa Rnb.
Sasa Mayunga Baada Ya Kukaa Kimya Kwea Kipindi Kirefu Ameamua Kuja Na Wimbo Wake Huu Mpya Unaofahamika Kwa Jina Nawekeza Huku Video Ikiongozwa Na Kwetu Studio Na Mazingira Yakiwa Ni Ya Afrika Ya Kusini.

Advertisements
%d bloggers like this: