Skip to content
Advertisements

Baada ya Huddah sasa ni Diamond platnumz

Baada ya star kutoka Kenya Huddah kung’aa kwenye page ya mtu mzima Rick Ross sasa ni zamu ya Diamond Platnumz kutoka Tanzania kwenye post iliyomuonyesha Diamond platnu platinum akiwa na chupa za kinywaji kiitwacho Belaire ambayo ni bidhaa ya msanii Rick Ross.

Hii inaonyesha wazi kuwa Diamond Platinum amelamba mchongo wa matangazo kutoka kwa mtu mzima Rosse ukiacha matangazo kutoka ndani ya kampuni kama Vodacome, Coca cola , na mengine mengi huu ni mchongo mwingine kwa Chibu.

Advertisements
%d bloggers like this: