Skip to content
Advertisements

Peter Msigwa awajia juu viongozi wa dini 

Mbunge wa Iringa mjini Mchungaji Peter Msigwa ameweka hisia zake wazi kwa viongozi wa dini Tanzania kwa kuonyeshwa kukerwa na ukimya wa viongozi hao kwa matukio na hali ya kisiasa ilivyo kwa ujumla pamoja na tukio la kujeluhiwa kwa risasi la mbunge wa Singida Mashariki Mh.Tundu lissu kupitia ukurasa wake wa mtandao wa twitter Mchungaji Msigwa amefunguka kwa kusema.

Advertisements
%d bloggers like this: