Skip to content
Advertisements

KAKA WA JANET JACKSON AFUNGUKA KUWA WISSAM AL MANA ALIMFANYA DADA YAKE AJISIKIE KAMA YUKO JELA

Janet Jackson Ambaye Kwa Hivi sasa Ana Mtoto Mmoja Ambaye Alizaa Na Moja Kati Ya Mfanya Biashara Maarufu Kutoka Saudi Arabia Anayaefahamika Kwajina La Wissam Al Mana.
Baada Ya Kujifungua Tu Mtoto Wake “Eissa”Kuna Mambo Mengi Yalijitokeaza Lakini Pia Ikumbukwe Mama Huyo Alifunga Ndoa Ya Mkataba Na Milionea Huyo Kutoka Saudi Arabia Ndoa Ambayo Ilifikia Tamati Baada Ya Siku Kadhaa Janet Jackson Kujifungua.
Sasa Mapya Yameibuka Zaidi Kwa Mujibu Wa Chanzo Cha Habari Cha Tmz Baada Janet Na Kaka Yake Randy Jackson Kubainisha Kuwa Bwana Wissam Alikuwa Akimtesa Sana Kipindi Akiwa Mjamzito.

WISSAM AL MANA NA JANET JACKSON

Kaka Wa Janet Jackson Amesema Kuwa Aliyekuwa Shemeji Yake Alikuwa Akimuita Dada Yake “B**Ch” Kila Siku,Alisema Randy Jackson Na Kuongeza Kuwa “Ilifika Hatua Unaona Kabisa Hayo Mahusiano Ni Ya mateso Na Kumfanya Dada Yangu Ajisikiea Kama Yuko Jela Japo Yuko Nyumbani Kwake”
Na Kuongeza Kuwa Dada Yake Alilia Nyuma Ya Jukwaa Wakati Wa Ziara Yake Ya Muziki Kwa Sababu Bado Anapata Mateso Ikiwemo Kusumbuliwa Na Kesi Dhidi mtoto Wao Na Kwa Mujibu Wa Mwanasheria Wa Wissam Amedai Kuwa Hawatajibu Lolote Kuhusu Madai Hayo.

JANET JACKSON AKIWA NA MTOTO WAKE

Jambo ambalo linaonekana kumsumbua sana dada yake licha ya kuwa anaendelea na maisha yake.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: