Skip to content
Advertisements

Gigy Money Akataa Mahari Ya Milioni 5

MUUZA nyago kwenye video ambaye pia ni msanii wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ amejikuta akipishana na bahati baada ya kugomea mahari ya shilingi milioni 5 kutoka kwa mwanaume aliyetaka kumuoa.
Akizungumza na Star Mix, Gigy anayebamba na Wimbo wa Papa alisema, siyo kama hapendi kuolewa lakini anachoangalia ni thamani yake kwanza ambayo kama ni kutolewa mahari basi iwe zaidi ya milioni 5.
“Namshukuru Mungubahati ya kuolewa ninayo, lakini watu wanashindwa kutekeleza mahari yangu ninayotaka na sioni haja ya kukiuka kigezo changu sababu kama ridhiki ipo ipo tu.
“Kuna Jamaa alileta posa, lakini alivyopewa hilo sharti la milioni 10 jasho likamtoka, akalilia milioni 5 nikagoma, huo ndiyo msimamo ila uamuzi wa mwisho ni Muumba siwezi jua huenda kapuku akaniopoa huko mbeleni,”

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: