Skip to content
Advertisements

Waziri wa Afya avaa Hijab na kujifanya mgonjwa, abaini mazito hospitali ya serikali

Waziri wa Afya, Sarah Opendi avaa Hijab na kujifanya mgonjwa katika hospitali ya Naguru ambayo ni ya Serikali na kubaini tabia ya rushwa ilivyokithiri.
Kwa kutokujua kwamba ni Waziri, Daktari aliyempokea alimuomba ampatie Shilingi Laki 1 na kumuandikia aende Maabara ambapo nako aliombwa Shilingi Elfu 5 ili apatiwe huduma.

Wahusika wote wanashikiliwa na Polisi baada ya Waziri huyo kuvua Hijab na kuagiza wachukuliwe hatua haraka.
Uganda hiyo!


Advertisements
%d bloggers like this: