Skip to content
Advertisements

Amber Rose kuja na suluhisho la ubakaji

Video vixer kutoka Marekani, Amber Rose amatengaza kuja na kampeni yake iitwayo ‘Slut Walk’ itakayowakomboa wasichana kuepukana na vitendo vya kinyanyasaji wa kingono.

Amber ambaye yupo katika mahusiano na rapper 21 Savage anatarajia kuja na kampeni hiyo ifikapo Oktoba mosi mwaka huu ambayo itaanzia katika mji wa Los Angles maeneo ya Pershing Square.

Get educated. #facts #amberroseslutwalk amberroseslutwalk.com come and walk with us. Tickets are free Use the promo code “ThankYouReebok” link in my bio. October 1st 2017 Downtown Los Angeles Pershing Square,” ameandika mrembo huyo Instagram
Kupitia kampeni hiyo Amber amebainisha vyanzo kadhaa vinavyosababisha mazingira hatarishi kwa watoto wa kike ikiwemo uvaaji nguo fupi, unywaji wa pombe, kutazma filamu na mengineyo.

Advertisements
%d bloggers like this: