Skip to content
Advertisements

FAIZA;MBUNGE GANI USIEJUA MWANAO ANALIPAJE ADA

Mwanadada Faiza ally amemjia juu mzazi mwenzie ambaye ni mbunge wa Mbeya mjini Mh.Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu akitumia ukurasa wake wa Instagram Faiza ameeleza kwa kutumia kutumia maneno makali kwa mbunge huyo akimtuhumu kutokutoa huduma kwa mtoto wao Sasha.

Mbunge wa mbeya Mjini Joseph Mbilinyi akiwa na mwanae Sasha

Dk1 @faizaally_ amuanika Mh Sugu #Dk1 #ntawaadisia

A post shared by DAKIKA MOJA C.E.O (@bagh_dad) on

Pat 2

A post shared by DAKIKA MOJA C.E.O (@bagh_dad) on

Advertisements
%d bloggers like this: