Skip to content
Advertisements

Diamond amkubali mtoto wa Hamisa Mobetto

“Nilikubali ujauzito ni wangu, sikupenda kuikana mimba ni damu yangu na kila siku iendayo kwa Mungu nilikuwa nampatia shilingi elfu 70 kama matumizi ya mtoto mpaka anazaliwa” Hayo ni maneno ya Diamond Platnumz katika mahojiano na kipindi cha Leo Tena cha Clouds Fm leo Sept 19, 2017.

Advertisements
%d bloggers like this: