Skip to content
Advertisements

HILI LA ZARI NA MOBETO LAMUIBUA RC MAKONDA

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameshindwa kujizuia kufuatia kinachoendelea mitandaoni kuhusu warembo wawili, Zarinah Hassan maarufu ‘Zari The Boss Lady’ na Hamisa Mobeto na kujikuta akiandika ujumbe mzito kusmihi Zari.

Soma alichokiandika Makonda.

Advertisements
%d bloggers like this: