Skip to content
Advertisements

Kiongozi wa zamani wa Muslim Brothehood afariki

Kiongozi wa zamani wa Muslim Brotherhood Mohamed Mahdi Akef afariki akiwa na umri wa miaka 89
Kiongozi wa zamani wa Muslim Brotherhood Mohamed Mahdi Akef afariki akiwa na umri wa miaka 89 katika hospitali mjini Cairo.
Mohamed Mahdi Akef alikuwa kiongozi wa 7 wa Muslim Brotherhood.
Taarifa ya kifu cha Mohamed Akef ilitangazwa na binti yake Alia katika ukurasa wake wa Facebook.
Akef alikuwa akizuiliwa katika hospitali ya al Qasr el Aini mjini Cairo baada ya hali yake ya afya kudhoofika.

Advertisements
%d bloggers like this: