Skip to content
Advertisements

Breaking: Mbunge Peter Msigwa anashikiliwa na Polisi

Kupitia ukurasa wa Twitter wa Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema, ameandika hivi;- 
 “Msigwa amekamatwa na Polisi huko Iringa na kushushwa kwa nguvu jukwani ktk Mkutano halali. Msiogope baada ya giza nene asubuhi hutokea!”

Taarifa hiyo iemethibitishwa na kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa Kamishna wa polisi Julius Mjengi, Ambapo ameuleza mtandao huu kuwa Msigwa alikuwa na mkutano wa hadhara leo Septemba 24, katika eneo la Mlandege mkoani humo ambapo anadaiwa kutumia lugha na matamshi ya uchochezi katika hotuba yake.

Hata hivyo Kamanda Mjengi ameongeza kuwa tayari wameanza kumuhoji

Advertisements
%d bloggers like this: