Skip to content
Advertisements

Hiki ndicho kikosi cha Taifa Stars

Kocha wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Salum Mayanga ametangaza majina ya kikosi cha wachezaji watakao unda kikosi kipya.

Kwa asilimia kubwa hakuna mabadiliko isipokuwa kipa Peter Manyika wa Singida United ameitwa kikosini hapo kuchukua nafasi ya Said Mohamed Nduda wa Simba ambaye kwa sasa ni majeruhi.

Manyika ni kipa wa zamani wa Simba ambaye aliondoka kikosini hapo baada ya kukosa nafasi na kudaiwa kuwa kiwango chake kilishuka.

Advertisements
%d bloggers like this: