Skip to content
Advertisements

NAS AVUNJA UKIMYA, AWEKA WAZI JUU YA UHUSIANO WAKE NA FEMALE RAPPER NICK MINAJ

Picha rapper Nass akiwa na Nikki Minaj

Baada ya ripoti kibao kuvuja kuhusu Nicki Minaj na Nas kuwa na mahusiano ya kimapenzi ambayo yanatajwa kuanza tangu May mwaka huu sasa kikubwa ni kwamba Kupitia ukurasa wa Instagram wa rapper Nas, ameonyesha kuweka wazi kuhusu ukaribu wake na Nick Minaj.

Hivi karibuni mfululizo wa picha flani hivi za Kinyamwezi ambazo wawili hao walizipost wakiwa wametupia vitu vya Gucci pamoja na Ndinga ya Mercedes Benz.

Sasa kilichovutia Zaidi ni ile Caption ya Nas, ndio ilikamata watu wengi baada ya kuandika kwamba “Got my Bday 1988 190E Benz and Picked up Shorly from Queens, We Out”

Mashabiki wengi wakaanza kujiuliza inaamana Nas anatoka na Nicki Minaj kwasababu amemwita Girlfriend wake kupitia hili neno Shorly.

Hakuna anayefahamu kipi kingine kinaendelea, ila kama utakumbuka tukirudi nyuma Nicki alishawahi kusema wanaume ambao anamkubali ni Nas, kutokana na Nas kuwa na maisha flani hiv ya kigumu.

Advertisements
%d bloggers like this: