Skip to content
Advertisements

Askari watatu wafariki katika mlipuko Kirkuk nchini Iraq

Askari watatu wafariki na wengine watatno wajeruhiwa katika mlipuko wa bomu la kutegwa ardhi Kirkuk nchini Iraq
Askari watatu wafariki na wengine watatno wajeruhiwa katika mlipuko wa bomu la kutegwa ardhini Dakuk kusini mwa jimbo la Kirkuk nchini Iraq.
Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na vyanzo vya habari katika eneo hilo, mlipuko huo umetokea wakati ambapo lori moja la wanajeshi lilikuwa katika safari yake kuelekea Kaskazini.
Dabuk ni eneo ambalo linapatikana mpakani mwa eneo ambalo linamilikiwa na wanamgambo wa kundi la Daesh.

Advertisements
%d bloggers like this: