Skip to content
Advertisements

Jeshi la Uturuki laendelea na mazoezi karibu na mpaka wake na Iraq

Jeshi la Uturuki laendelea kufanya mazoezi mpakani mwa Uturuki na Iraq
Jeshi la Uturuki laendelea kufanya mazoezi katika enoe la Silopi-Habur mpakani mwa Uturuki na Iraq.
Jeshi la Uturuki chini ya amri ya amiri jeshi mkuu lilianza kufanya mazoeizi katika eneo hilo tangu Jumatatu ya wiki iliopita.
Jumamosi idara ya ulinzi ilifahamisha kuimarisha usalama katika eneo la mpakani mwaka na Iraq.
Viafaru na vifaa vingine tofauti vya kivita vimefanyiwa majaribio katika mazoezi hayo.

Advertisements
%d bloggers like this: