Skip to content
Advertisements

KYLIE JENNER NI MJAMZITO, YEYE NA TRAVIS SCOTT WANATARAJIA KUPATA MTOTO

Kylie Jenner na Travis Scott wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza.

Kwa mujibu wa TMZ, Kylie ni mjamzito na tayari yeye na mpenzi wake wameshawaambia watu wao wa karibu.
Taarifa zinadai kuwa rapper huyo wa Houston amewaambia marafiki zake kuwa anatarajia kupata mtoto wa kike.
Kwa mujibu wa People mtoto huyo anatarajiwa kuzaliwa mwezi wa February.

Advertisements
%d bloggers like this: