Skip to content
Advertisements

PICHA:BONDIA MAYWEATHER AMEWEKA PICHA YA MC GREGOR KATIKA NYUMBA YAKE MPYA

Bondoa Floyd Mayweather ametambulisha mjengo wake mpya lakini cha ajabu ni kwamba ndani ya mjengo huo kuna picha ya bondia mwenzake ambae alipambana nae mwezi wa nane na kumpiga kwa TKO Conor Mc Gregor,mpaka sasa bado aijajulikana kwanini lakini picha hizo zimeonekana kumvuti sana bondia huyo wakati picha hizo zikiwa zime nakshiwa kwa vipande vya glass.
Unadhani ni kwanini Mayweather ameweka picha ya Mc gregor?

Advertisements
%d bloggers like this: