Skip to content
Advertisements

P-Square kimenuka! Wazichapa hadharani

Paul and Peter Okoye

Tazama video hii iliyonaswa leo na Blog ya Linda Ikeji. Inawaonesha Peter, Paul na kaka yao, Jude wakitupiana matusi na kukunjana wakiwa ofisini kwa Mwanasheria wao.
“COME AND BEAT ME, IDIOT!”- Ni baadhi ya maneno yaliyosikika kwenye video hiyo hapo juu.
Kumbuka Peter Okoye tayari ameandika barua ya kujitoa rasmi ndani ya kundi hilo, #PSquare.

Advertisements
%d bloggers like this: