Skip to content
Advertisements

Arusha;Moto umeteketeza nyumba za askari

Kamanda wa polisi mkoa wa Arusha Dcp mkumbo

Moto mkubwa ambao bado chanzo chake hakijafahamika umeteketeza nyumba za askari polisi mkoani Arusha Kamanda  wa polisi mkoani Arusha Dcp Mkumbo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo la moto na kuleza hakuna mtu aliyejeruhiwa wala kupoteza maisha kutokana na moto huo.

Endelea kufatilia blog yetu kwa taarifa zaidi

Advertisements
%d bloggers like this: