Skip to content
Advertisements

Hemed Phd akubali kuwa miongoni mwa mastaa wenye watoto wengi

Msanii wa Bongofleva na Bongo Movie Hemed Suleiman

Hitmaker wa ngoma inayokimbiza mtaani kwa sasa Mkimbie Hemed Phd ambaye alikuwa kimya kwenye game toka mwaka 2015 akizungumza kupitia clouds E ya clouds fm Hemed alifunguka na kusema kuwa moja kati ya sababu zilizomfanya kuwa kimya ni pamoja na kuongezeka majukumu ya kuwa baba pamoja na ufatiliaji wa mirathi ya baba baba yake mzazi.

Hemed phd akiwa na mwanae

Pia katika mahojiano mengine na kituo cha Eatv Hemed alikiri kuwa mmoja kati ya mastaa ambao wamebahatika kuwa na watoto wengi japo wengi tumekuwa tukimtambua mwanae mmoja tu ambaye amekuwa akimpost mara kwa mara kwenye account yake ya mtandao wa Instagram tabia hii ya Hemed imefananishwa na ya msanii Future kutoka marekani ambaye amekuwa na zaidi ya watoto sita lakini amekuwa akimpost mtoto mmoja tu.

“mazingira ya kifamilia yamefanya nishindwe kupost watoto wengine japo nawapa mahitaji yote kama mzazi najivunia kuwa na watoto wangu kwakuwa watoto wangu ni wazuri kuliko mimi” 

Alifunguka hemed akipiga story na Enews ya Eatv.

Tazama wimbo mpya wa hemed phd

Advertisements
%d bloggers like this: