Skip to content
Advertisements

Petit man afunguka kuhusu picha zake za mahaba na Mobeto

Petman wakuache akiwa na mzazi mwenzie Esma platnumz

SIKU chache baada ya baba mzazi wa mtoto wa mwanamitindo, Hamisa Mobeto, kujitokeza hadharani na kukiri mtoto ni wake, ghafla, katika hali ya kushangaza zikasambaa picha mitandaoni zikimuonyesha mwanamitindo huyo akiwa katika pozi za mahaba na mdau wa muziki, Petitman Wakuache. Baada ya kuziona picha hizo Petit ameibuka na kutoa kauli nzito. 

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Petit alipost picha akiwa na mke wake Esma ambaye ni wifi yake Mobeto, kwa sababu anazaliwa mama mmoja na baba mtoto wake. Na kuandika ujumbe ufuatao: 
 kabisa, kwa hiyo kuvujisha picha hizo kunaweza kusababisha migogoro katika familia hizi mbili ambazo zina uhusiano wa karibu.

Advertisements
%d bloggers like this: