Skip to content
Advertisements

Nawal afunguka mazito kuhusu Nuh mziwanda

Aliyekuwa mke wa msanii nuh mziwanda “Nawal”

Aliyekuwa mke wa ndoa wa msanii Nuh mziwanda “Nawal amefunguka mazito kuhusu aliyewahi kuwa mume wake Nuh akimtuhumu kutokutoa huduma kwa mtoto wao Anyagile huku akisema ni zaidi ya miezi mitano Nuh ajaenda kumuona mwanae akipiga stori na dakika moja na Baghdada Nawal alifunga haya.

Part 2 mke wa Nuhu ayazua Mapya Cc. @iamshabbydar @tvetanzania

A post shared by DAKIKA MOJA C.E.O (@bagh_dad) on

Advertisements
%d bloggers like this: